Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 60 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿هَلۡ جَزَآءُ ٱلۡإِحۡسَٰنِ إِلَّا ٱلۡإِحۡسَٰنُ ﴾
[الرَّحمٰن: 60]
﴿هل جزاء الإحسان إلا الإحسان﴾ [الرَّحمٰن: 60]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je atakuwa na malipo yoyote, huyu aliyekuwa mwema wa matendo duniani, isipokuwa ni afanyiwe wema kwa kupewa Pepo huko Akhera |