Quran with Swahili translation - Surah Al-Waqi‘ah ayat 96 - الوَاقِعة - Page - Juz 27
﴿فَسَبِّحۡ بِٱسۡمِ رَبِّكَ ٱلۡعَظِيمِ ﴾
[الوَاقِعة: 96]
﴿فسبح باسم ربك العظيم﴾ [الوَاقِعة: 96]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi litakase jina la Mola wako Aliyetukuka na umtakase na yale ambayo madhalimu na wenye kukanusha wanayasema. Mwenyezi Mungu Yuko juu ya yale wanayoyasema ujuu mkubwa sana |