Quran with Swahili translation - Surah Al-haqqah ayat 43 - الحَاقة - Page - Juz 29
﴿تَنزِيلٞ مِّن رَّبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ﴾ 
[الحَاقة: 43]
﴿تنـزيل من رب العالمين﴾ [الحَاقة: 43]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr Lakini hiyo Qur’ani ni maneno ya Mola wa viumbe wote Aliyoyateremshia Mtume Wake Muhaammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie |