Quran with Swahili translation - Surah Al-haqqah ayat 52 - الحَاقة - Page - Juz 29
﴿فَسَبِّحۡ بِٱسۡمِ رَبِّكَ ٱلۡعَظِيمِ ﴾
[الحَاقة: 52]
﴿فسبح باسم ربك العظيم﴾ [الحَاقة: 52]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi Mwepushie Mwenyezi Mungu, kutakasika na sifa za upungufu ni Kwake, kila sifa isiyonasibiana na haiba Yake, na umtaje kwa jina Lake tukufu |