Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 120 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿وَأُلۡقِيَ ٱلسَّحَرَةُ سَٰجِدِينَ ﴾
[الأعرَاف: 120]
﴿وألقي السحرة ساجدين﴾ [الأعرَاف: 120]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakapomoka wachawi kwa nyuso zao kwa kumsujudia Mola wa viumbe wote, kwa uwezo mkubwa wa Mwenyezi Mungu waliouona |