Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 119 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿فَغُلِبُواْ هُنَالِكَ وَٱنقَلَبُواْ صَٰغِرِينَ ﴾
[الأعرَاف: 119]
﴿فغلبوا هنالك وانقلبوا صاغرين﴾ [الأعرَاف: 119]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakashindwa wachawi wote katika mahala walipokusanyika, na akaondoka Fir'awn na watu wake wakiwa wanyonge, waliozidiwa nguvu na kushindwa |