Quran with Swahili translation - Surah Nuh ayat 11 - نُوح - Page - Juz 29
﴿يُرۡسِلِ ٱلسَّمَآءَ عَلَيۡكُم مِّدۡرَارٗا ﴾
[نُوح: 11]
﴿يرسل السماء عليكم مدرارا﴾ [نُوح: 11]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mtakapotubia na mkaomba msamaha, Mwenyezi Mungu Atawateremshia mvua nyingi ya mfululizo |