Quran with Swahili translation - Surah Nuh ayat 10 - نُوح - Page - Juz 29
﴿فَقُلۡتُ ٱسۡتَغۡفِرُواْ رَبَّكُمۡ إِنَّهُۥ كَانَ غَفَّارٗا ﴾
[نُوح: 10]
﴿فقلت استغفروا ربكم إنه كان غفارا﴾ [نُوح: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni kawaambia watu wangu, ‘Muombeni Mola wenu msamaha wa dhambi zenu na tubieni Kwake kutokana na ukafiri wenu, hakika Yeye ni Mwingi wa kusamehe kwa anayetubia miongoni mwa waja Wake na akurudia Kwake.’» |