Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 1 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿وَٱلۡمُرۡسَلَٰتِ عُرۡفٗا ﴾ 
[المُرسَلات: 1]
﴿والمرسلات عرفا﴾ [المُرسَلات: 1]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr Anaapa Mwenyezi Mungu kwa upepo unapovuma kwa mfululizo, huu baada ya huu |