Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 32 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿إِنَّهَا تَرۡمِي بِشَرَرٖ كَٱلۡقَصۡرِ ﴾
[المُرسَلات: 32]
﴿إنها ترمي بشرر كالقصر﴾ [المُرسَلات: 32]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika moto wa Jahanamu unarusha macheche makubwa ya moto, kila cheche moja katika hayo ni kama jengo lililoimarishwa katika ukubwa na urefu wa kuenda juu |