Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 45 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿وَيۡلٞ يَوۡمَئِذٖ لِّلۡمُكَذِّبِينَ ﴾
[المُرسَلات: 45]
﴿ويل يومئذ للمكذبين﴾ [المُرسَلات: 45]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Maangamivu na adhabu kali Siku ya Kiyama kwa wenye kuikanusha Siku ya Malipo na Hesabu, na kuzikanusha sterehe na mateso yaliyomo Siku hiyo |