Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 46 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿كُلُواْ وَتَمَتَّعُواْ قَلِيلًا إِنَّكُم مُّجۡرِمُونَ ﴾
[المُرسَلات: 46]
﴿كلوا وتمتعوا قليلا إنكم مجرمون﴾ [المُرسَلات: 46]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha Mwenyezi Mungu Akawaonya makafiri kwa kusema, «Kuleni aina ya vyakula vya ladha duniani na stareheni kwa matamanio yake yenye kumalizika kwa muda mchache, hakika nyinyi ni wahalifu kwa kumshirikisha kwenu Mwenyezi Mungu.» |