Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 44 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿إِنَّا كَذَٰلِكَ نَجۡزِي ٱلۡمُحۡسِنِينَ ﴾
[المُرسَلات: 44]
﴿إنا كذلك نجزي المحسنين﴾ [المُرسَلات: 44]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sisi, kwa mfano wa malipo hayo makubwa, tutawalipa watu wema katika matendo yao na utiifu wao kwetu |