Quran with Swahili translation - Surah An-Nazi‘at ayat 3 - النَّازعَات - Page - Juz 30
﴿وَٱلسَّٰبِحَٰتِ سَبۡحٗا ﴾
[النَّازعَات: 3]
﴿والسابحات سبحا﴾ [النَّازعَات: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa Malaika wanaoogelea katika kushuka kwao kutoka mbinguni na kupaa kwao kwenda mbinguni |