×

Surah An-Naziat in Swahili

Quran Swahili ⮕ Surah Naziat

Translation of the Meanings of Surah Naziat in Swahili - السواحيلية

The Quran in Swahili - Surah Naziat translated into Swahili, Surah An-Naziat in Swahili. We provide accurate translation of Surah Naziat in Swahili - السواحيلية, Verses 46 - Surah Number 79 - Page 583.

بسم الله الرحمن الرحيم

وَالنَّازِعَاتِ غَرْقًا (1)
Naapa kwa wanao komoa kwa nguvu
وَالنَّاشِطَاتِ نَشْطًا (2)
Na kwa wanao toa kwa upole
وَالسَّابِحَاتِ سَبْحًا (3)
Na wanao ogelea
فَالسَّابِقَاتِ سَبْقًا (4)
Wakishindana mbio
فَالْمُدَبِّرَاتِ أَمْرًا (5)
Wakidabiri mambo
يَوْمَ تَرْجُفُ الرَّاجِفَةُ (6)
Siku kitapo tetemeka cha kutetemeka
تَتْبَعُهَا الرَّادِفَةُ (7)
Kifuate cha kufuatia
قُلُوبٌ يَوْمَئِذٍ وَاجِفَةٌ (8)
Siku hiyo nyoyo zitapiga piga
أَبْصَارُهَا خَاشِعَةٌ (9)
Macho yatainama chini
يَقُولُونَ أَإِنَّا لَمَرْدُودُونَ فِي الْحَافِرَةِ (10)
Sasa wanasema: Ati kweli tutarudishwa kwenye hali ya kwanza
أَإِذَا كُنَّا عِظَامًا نَّخِرَةً (11)
Hata tukiwa mifupa iliyo bunguliwa
قَالُوا تِلْكَ إِذًا كَرَّةٌ خَاسِرَةٌ (12)
Wanasema: Basi marejeo hayo ni yenye khasara
فَإِنَّمَا هِيَ زَجْرَةٌ وَاحِدَةٌ (13)
Kwa hakika hayo ni ukelele mmoja tu
فَإِذَا هُم بِالسَّاهِرَةِ (14)
Mara watakuwa kwenye uwanda wa mkutano
هَلْ أَتَاكَ حَدِيثُ مُوسَىٰ (15)
Je! Imekufikia hadithi ya Musa
إِذْ نَادَاهُ رَبُّهُ بِالْوَادِ الْمُقَدَّسِ طُوًى (16)
Mola wake Mlezi alipo mwita katika bonde takatifu la T'uwaa, akamwambia
اذْهَبْ إِلَىٰ فِرْعَوْنَ إِنَّهُ طَغَىٰ (17)
Nenda kwa Firauni. Hakika yeye amezidi jeuri
فَقُلْ هَل لَّكَ إِلَىٰ أَن تَزَكَّىٰ (18)
Umwambie: Je! Unapenda kujitakasa
وَأَهْدِيَكَ إِلَىٰ رَبِّكَ فَتَخْشَىٰ (19)
Nami nitakuongoa ufike kwa Mola wako Mlezi, upate kumcha
فَأَرَاهُ الْآيَةَ الْكُبْرَىٰ (20)
Basi alimwonyesha Ishara kubwa
فَكَذَّبَ وَعَصَىٰ (21)
Lakini aliikadhibisha na akaasi
ثُمَّ أَدْبَرَ يَسْعَىٰ (22)
Kisha alirudi nyuma, akaingia kufanya juhudi
فَحَشَرَ فَنَادَىٰ (23)
Akakusanya watu akanadi
فَقَالَ أَنَا رَبُّكُمُ الْأَعْلَىٰ (24)
Akasema: Mimi ndiye Mola wenu Mlezi mkuu kabisa
فَأَخَذَهُ اللَّهُ نَكَالَ الْآخِرَةِ وَالْأُولَىٰ (25)
Basi hapo Mwenyezi Mungu akamshika kumuadhibu kwa la mwisho na la mwanzo
إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَعِبْرَةً لِّمَن يَخْشَىٰ (26)
Kwa hakika katika haya yapo mazingatio kwa wanao ogopa
أَأَنتُمْ أَشَدُّ خَلْقًا أَمِ السَّمَاءُ ۚ بَنَاهَا (27)
Je! Ni vigumu zaidi kukuumbeni nyinyi au mbingu? Yeye ndiye aliye ijenga
رَفَعَ سَمْكَهَا فَسَوَّاهَا (28)
Akainua kimo chake, na akaitengeneza vizuri
وَأَغْطَشَ لَيْلَهَا وَأَخْرَجَ ضُحَاهَا (29)
Na akautia giza usiku wake, na akautokeza mchana wake
وَالْأَرْضَ بَعْدَ ذَٰلِكَ دَحَاهَا (30)
Na juu ya hivyo ameitandaza ardhi
أَخْرَجَ مِنْهَا مَاءَهَا وَمَرْعَاهَا (31)
Akatoa ndani yake maji yake na malisho yake
وَالْجِبَالَ أَرْسَاهَا (32)
Na milima akaisimamisha
مَتَاعًا لَّكُمْ وَلِأَنْعَامِكُمْ (33)
Kwa nafuu yenu na mifugo yenu
فَإِذَا جَاءَتِ الطَّامَّةُ الْكُبْرَىٰ (34)
Basi itakapo fika hiyo balaa kubwa
يَوْمَ يَتَذَكَّرُ الْإِنسَانُ مَا سَعَىٰ (35)
Siku ambayo mtu atakumbuka aliyo yafanya
وَبُرِّزَتِ الْجَحِيمُ لِمَن يَرَىٰ (36)
Na Jahannamu itadhihirishwa kwa mwenye kuona
فَأَمَّا مَن طَغَىٰ (37)
Basi ama yule aliye zidi ujeuri
وَآثَرَ الْحَيَاةَ الدُّنْيَا (38)
Na akakhiari maisha ya dunia
فَإِنَّ الْجَحِيمَ هِيَ الْمَأْوَىٰ (39)
Kwa hakika Jahannamu ndiyo makaazi yake
وَأَمَّا مَنْ خَافَ مَقَامَ رَبِّهِ وَنَهَى النَّفْسَ عَنِ الْهَوَىٰ (40)
Na ama yule anaye ogopa kusimamishwa mbele ya Mola wake Mlezi, na akajizuilia nafsi yake na matamanio
فَإِنَّ الْجَنَّةَ هِيَ الْمَأْوَىٰ (41)
Basi huyo, Pepo itakuwa ndiyo makaazi yake
يَسْأَلُونَكَ عَنِ السَّاعَةِ أَيَّانَ مُرْسَاهَا (42)
Wanakuuliza Saa (ya Kiyama) itakuwa lini
فِيمَ أَنتَ مِن ذِكْرَاهَا (43)
Una nini wewe hata uitaje
إِلَىٰ رَبِّكَ مُنتَهَاهَا (44)
Kwa Mola wako Mlezi ndio mwisho wake
إِنَّمَا أَنتَ مُنذِرُ مَن يَخْشَاهَا (45)
Kwa hakika wewe ni mwonyaji tu kwa mwenye kuikhofu
كَأَنَّهُمْ يَوْمَ يَرَوْنَهَا لَمْ يَلْبَثُوا إِلَّا عَشِيَّةً أَوْ ضُحَاهَا (46)
Ni kama kwamba wao siku watapo iona (hiyo Saa) hawakukaa ila jioni moja tu, au mchana wake
❮ Previous Next ❯

Surahs from Quran :

1- Fatiha2- Baqarah
3- Al Imran4- Nisa
5- Maidah6- Anam
7- Araf8- Anfal
9- Tawbah10- Yunus
11- Hud12- Yusuf
13- Raad14- Ibrahim
15- Hijr16- Nahl
17- Al Isra18- Kahf
19- Maryam20- TaHa
21- Anbiya22- Hajj
23- Muminun24- An Nur
25- Furqan26- Shuara
27- Naml28- Qasas
29- Ankabut30- Rum
31- Luqman32- Sajdah
33- Ahzab34- Saba
35- Fatir36- Yasin
37- Assaaffat38- Sad
39- Zumar40- Ghafir
41- Fussilat42- shura
43- Zukhruf44- Ad Dukhaan
45- Jathiyah46- Ahqaf
47- Muhammad48- Al Fath
49- Hujurat50- Qaf
51- zariyat52- Tur
53- Najm54- Al Qamar
55- Rahman56- Waqiah
57- Hadid58- Mujadilah
59- Al Hashr60- Mumtahina
61- Saff62- Jumuah
63- Munafiqun64- Taghabun
65- Talaq66- Tahrim
67- Mulk68- Qalam
69- Al-Haqqah70- Maarij
71- Nuh72- Jinn
73- Muzammil74- Muddathir
75- Qiyamah76- Insan
77- Mursalat78- An Naba
79- Naziat80- Abasa
81- Takwir82- Infitar
83- Mutaffifin84- Inshiqaq
85- Buruj86- Tariq
87- Al Ala88- Ghashiya
89- Fajr90- Al Balad
91- Shams92- Lail
93- Duha94- Sharh
95- Tin96- Al Alaq
97- Qadr98- Bayyinah
99- Zalzalah100- Adiyat
101- Qariah102- Takathur
103- Al Asr104- Humazah
105- Al Fil106- Quraysh
107- Maun108- Kawthar
109- Kafirun110- Nasr
111- Masad112- Ikhlas
113- Falaq114- An Nas