Quran with Swahili translation - Surah ‘Abasa ayat 16 - عَبَسَ - Page - Juz 30
﴿كِرَامِۭ بَرَرَةٖ ﴾
[عَبَسَ: 16]
﴿كرام بررة﴾ [عَبَسَ: 16]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Zilizoko mikononi mwa Malaika waandishi, mabalozi kati ya Mwenyezi Mungu na viumbe Wake, wenye maumbile mema, tabia zao ni nzuri na njema na pia matendo yao |