×

Na Mwenyezi Mungu nyuma yao amewazunguka 85:20 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Buruj ⮕ (85:20) ayat 20 in Swahili

85:20 Surah Al-Buruj ayat 20 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Buruj ayat 20 - البُرُوج - Page - Juz 30

﴿وَٱللَّهُ مِن وَرَآئِهِم مُّحِيطُۢ ﴾
[البُرُوج: 20]

Na Mwenyezi Mungu nyuma yao amewazunguka

❮ Previous Next ❯

ترجمة: والله من ورائهم محيط, باللغة السواحيلية

﴿والله من ورائهم محيط﴾ [البُرُوج: 20]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Mwenyezi Mungu Amewazunguka kwa Ujuzi na Uweza Wake, hakuna chenye kufichika Kwake kuhusu wao na vitendo vyao. Hii Qu’ani siyo kama wanavyodai wenye kukanusha katika washirikina kuwa ni mashairi na uchawi ndipo wakaikanusha
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek