Quran with Swahili translation - Surah Al-Ghashiyah ayat 6 - الغَاشِية - Page - Juz 30
﴿لَّيۡسَ لَهُمۡ طَعَامٌ إِلَّا مِن ضَرِيعٖ ﴾
[الغَاشِية: 6]
﴿ليس لهم طعام إلا من ضريع﴾ [الغَاشِية: 6]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watu wa Motoni hawatakuwa na chakula isipokuwa kinachotoka kwenye mti wa miba ilioshikana na chini. Ni kibaya sana chakula hiko na ni kichafu mno |