Quran with Swahili translation - Surah Al-Balad ayat 18 - البَلَد - Page - Juz 30
﴿أُوْلَٰٓئِكَ أَصۡحَٰبُ ٱلۡمَيۡمَنَةِ ﴾
[البَلَد: 18]
﴿أولئك أصحاب الميمنة﴾ [البَلَد: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wenye kufanya hayo ndiwo watu wa kulia ambao watapelekwa Siku ya Kiyama upande wa kulia kuelekea Peponi |