Quran with Swahili translation - Surah Ash-Sharh ayat 5 - الشَّرح - Page - Juz 30
﴿فَإِنَّ مَعَ ٱلۡعُسۡرِ يُسۡرًا ﴾
[الشَّرح: 5]
﴿فإن مع العسر يسرا﴾ [الشَّرح: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Usirudi nyuma katika kueneza ujumbe uliotumwa nao kwa makero ya maadui zako. Kwani kwenye dhiki kuna faraji |