Quran with Swahili translation - Surah At-Takathur ayat 5 - التَّكاثُر - Page - Juz 30
﴿كـَلَّا لَوۡ تَعۡلَمُونَ عِلۡمَ ٱلۡيَقِينِ ﴾
[التَّكاثُر: 5]
﴿كلا لو تعلمون علم اليقين﴾ [التَّكاثُر: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Siyo namna hii inatakiwa iwashughulishe kushindana kwa wingi wa mali.Lau mnajua kikweli, mngalirudi nyuma na mngaliangusiliza kuokoa nafsi zenu kutoka kwenye maangamivu |