The Quran in Swahili - Surah An Nas translated into Swahili, Surah An-Nas in Swahili. We provide accurate translation of Surah An Nas in Swahili - السواحيلية, Verses 6 - Surah Number 114 - Page 604.
قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ النَّاسِ (1) Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu |
مَلِكِ النَّاسِ (2) Mfalme wa wanaadamu |
إِلَٰهِ النَّاسِ (3) Mungu wa wanaadamu |
مِن شَرِّ الْوَسْوَاسِ الْخَنَّاسِ (4) Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas |
الَّذِي يُوَسْوِسُ فِي صُدُورِ النَّاسِ (5) Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu |
مِنَ الْجِنَّةِ وَالنَّاسِ (6) Kutokana na majini na wanaadamu |