Quran with Swahili translation - Surah Al-Falaq ayat 3 - الفَلَق - Page - Juz 30
﴿وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ ﴾
[الفَلَق: 3]
﴿ومن شر غاسق إذا وقب﴾ [الفَلَق: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na shari la usiku wenye giza lingi ungiapo na ujikitapo na mashari na maudhi mbalimbali yaliyomo ndani yake |