Quran with Swahili translation - Surah Al-Falaq ayat 5 - الفَلَق - Page - Juz 30
﴿وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ ﴾
[الفَلَق: 5]
﴿ومن شر حاسد إذا حسد﴾ [الفَلَق: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na shari la hasidi mwenye kutukia watu, anapowahusudu na kuwadhuru, kwa kutaka neema za Mwenyezi Mungu Aliyewaneemesha ziwaondokee.» |