Quran with Swahili translation - Surah An-Nas ayat 4 - النَّاس - Page - Juz 30
﴿مِن شَرِّ ٱلۡوَسۡوَاسِ ٱلۡخَنَّاسِ ﴾
[النَّاس: 4]
﴿من شر الوسواس الخناس﴾ [النَّاس: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Kutokana na udhia wa shetani ambaye hutia watu wasiwasi wanapoghafilika na hujificha atajwapo Mwenyezi Mungu |