Quran with Swahili translation - Surah An-Nas ayat 1 - النَّاس - Page - Juz 30
﴿قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلنَّاسِ ﴾
[النَّاس: 1]
﴿قل أعوذ برب الناس﴾ [النَّاس: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sema, ewe Mtume, «Ninajilinda na kutaka hifadhi kwa Bwana wa watu, Mwenye uweza, Peke Yake, wa kulirudisha shari lao |