Quran with Swahili translation - Surah Ash-Sharh ayat 1 - الشَّرح - Page - Juz 30
﴿أَلَمۡ نَشۡرَحۡ لَكَ صَدۡرَكَ ﴾
[الشَّرح: 1]
﴿ألم نشرح لك صدرك﴾ [الشَّرح: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwani Hatukukunjulia, ewe Mtume, kifua chako kwa sheria za Dini, kulingania watu kwa Mwenyezi Mungu na kujipamba kwa tabia nzuri |