The Quran in Swahili - Surah Qadr translated into Swahili, Surah Al-Qadr in Swahili. We provide accurate translation of Surah Qadr in Swahili - السواحيلية, Verses 5 - Surah Number 97 - Page 598.
بِّسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ إِنَّا أَنزَلْنَاهُ فِي لَيْلَةِ الْقَدْرِ (1) Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani katika Laylatul Qadri, Usiku wa Cheo Kitukufu |
وَمَا أَدْرَاكَ مَا لَيْلَةُ الْقَدْرِ (2) Na nini kitacho kujuulisha nini Laylatul Qadri |
لَيْلَةُ الْقَدْرِ خَيْرٌ مِّنْ أَلْفِ شَهْرٍ (3) Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu |
تَنَزَّلُ الْمَلَائِكَةُ وَالرُّوحُ فِيهَا بِإِذْنِ رَبِّهِم مِّن كُلِّ أَمْرٍ (4) Huteremka Malaika na Roho katika usiku huo kwa idhini ya Mola wao Mlezi kwa kila jambo |
سَلَامٌ هِيَ حَتَّىٰ مَطْلَعِ الْفَجْرِ (5) Amani usiku huo mpaka mapambazuko ya alfajiri |