Quran with Swahili translation - Surah Al-Qadr ayat 3 - القَدر - Page - Juz 30
﴿لَيۡلَةُ ٱلۡقَدۡرِ خَيۡرٞ مِّنۡ أَلۡفِ شَهۡرٖ ﴾
[القَدر: 3]
﴿ليلة القدر خير من ألف شهر﴾ [القَدر: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Usiku wa cheo na utukufu ni bora fadhila zake kuliko fadhila za miezi elfu moja isiyokuwa usiku huo |