Quran with Swahili translation - Surah Al-Qadr ayat 4 - القَدر - Page - Juz 30
﴿تَنَزَّلُ ٱلۡمَلَٰٓئِكَةُ وَٱلرُّوحُ فِيهَا بِإِذۡنِ رَبِّهِم مِّن كُلِّ أَمۡرٖ ﴾
[القَدر: 4]
﴿تنـزل الملائكة والروح فيها بإذن ربهم من كل أمر﴾ [القَدر: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Usiku huo hushuka Malaika na Jibrili, amani iwashukie, kwa ruhusa ya Mola wao kwa kila jambo Alilolikadiria liwe mwaka huo |