Quran with Swahili translation - Surah Al-Qadr ayat 1 - القَدر - Page - Juz 30
﴿إِنَّآ أَنزَلۡنَٰهُ فِي لَيۡلَةِ ٱلۡقَدۡرِ ﴾
[القَدر: 1]
﴿إنا أنـزلناه في ليلة القدر﴾ [القَدر: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sisi Tumeiteremsha Qur’ani katika usiku wa cheo na utukufu , nao ni moja wa masiku ya mwezi wa Ramdhani |