Quran with Swahili translation - Surah Al-Fatihah ayat 4 - الفَاتِحة - Page - Juz 1
﴿مَٰلِكِ يَوۡمِ ٱلدِّينِ ﴾
[الفَاتِحة: 4]
﴿مالك يوم الدين﴾ [الفَاتِحة: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Yeye, kutakasika ni Kwake, Peke Yake Ndiye Mwenye mamlaka ya Siku ya Kiyama, nayo ni Siku ya Malipo kwa matendo yaliyofanywa na waja. Muislamu anapoisoma aya hii katika kila rakaa, inamkumbusha siku ya Akhera na inamhimiza ajitayarishe kufanya matendo mema na kujiepusha na maasia na mabaya |