The Quran in Swahili - Surah Fatiha translated into Swahili, Surah Al-Fatihah in Swahili. We provide accurate translation of Surah Fatiha in Swahili - السواحيلية, Verses 7 - Surah Number 1 - Page 1.
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ (1) KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU |
الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ (2) Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote |
الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ (3) Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu |
مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ (4) Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo |
إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ (5) Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada |
اهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيمَ (6) Tuongoe njia iliyo nyooka |
صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ (7) Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea |