Quran with Swahili translation - Surah Al-Fatihah ayat 3 - الفَاتِحة - Page - Juz 1
﴿ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ ﴾
[الفَاتِحة: 3]
﴿الرحمن الرحيم﴾ [الفَاتِحة: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwingi wa rehema Ambaye rehema Zake zimewaenea viumbe vyote, Mwenye kuwarehemu Waumini. Na majina mawili haya ni miongoni mwa majina ya Mwenyezi Mungu Aliyetukuka |