Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 1 - يُونس - Page - Juz 11
﴿الٓرۚ تِلۡكَ ءَايَٰتُ ٱلۡكِتَٰبِ ٱلۡحَكِيمِ ﴾
[يُونس: 1]
﴿الر تلك آيات الكتاب الحكيم﴾ [يُونس: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr (Alif, Lām, Rā’.) Yametangulia maelezo juu ya herufi zilizotajwa kimkato mwanzo wa sura ya Al- Baqarah. Hizi ni aya za Kitabu kilichopangwa vizuri ambacho Mwenyezi Mungu Amekipanga na kukifafanua kwa waja Wake |