Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma‘un ayat 7 - المَاعُون - Page - Juz 30
﴿وَيَمۡنَعُونَ ٱلۡمَاعُونَ ﴾
[المَاعُون: 7]
﴿ويمنعون الماعون﴾ [المَاعُون: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wanakataa kuwaazima watu vitu ambavyo hawadhuriki kwa kuviazima, kama vyombo vya kutumia na vinginevyo. Wao hawakujifanyia wema nafsi zao kumuabudu Mola wao wala hawakuwafanyia wema viumbe Vyake |