Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 1 - يُوسُف - Page - Juz 12
﴿الٓرۚ تِلۡكَ ءَايَٰتُ ٱلۡكِتَٰبِ ٱلۡمُبِينِ ﴾
[يُوسُف: 1]
﴿الر تلك آيات الكتاب المبين﴾ [يُوسُف: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Alif, Lām, Rā’. Maneno yametangulia juu ya herufi zilizokatwa na kutengwa mwanzo wa sura ya Al-Baqrah. Hizi ni aya za Kitabu kilichobainika kilicho wazi katika maana yake, mahalalisho yake, maharamisho yake na uongofu wake |