Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 2 - يُوسُف - Page - Juz 12
﴿إِنَّآ أَنزَلۡنَٰهُ قُرۡءَٰنًا عَرَبِيّٗا لَّعَلَّكُمۡ تَعۡقِلُونَ ﴾
[يُوسُف: 2]
﴿إنا أنـزلناه قرآنا عربيا لعلكم تعقلون﴾ [يُوسُف: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sisi tumekuteremshia Qur’ani kwa lugha ya Waarabu, huenda nyinyi, enyi Waarabu mkayatia akilini maana yake, mkayafahamu na mkatenda kulingana na uongofu wake |