Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 37 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿قَالَ فَإِنَّكَ مِنَ ٱلۡمُنظَرِينَ ﴾
[الحِجر: 37]
﴿قال فإنك من المنظرين﴾ [الحِجر: 37]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Akamwambia, «Wewe ni miongoni mwa wale niliowapa muda na kuchelewesha kuwaangamiza mpaka siku ambayo viumbe wote watakufa baada ya Mpulizo wa kwanza |