Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 77 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗ لِّلۡمُؤۡمِنِينَ ﴾
[الحِجر: 77]
﴿إن في ذلك لآية للمؤمنين﴾ [الحِجر: 77]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika, katika kule kuwaangamiza kwetu pana ushahidi waziwazi kwa wenye kuamini na wenye kutenda matendo yanayoambatana na sheria za Mwenyezi Mungu |