Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 78 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿وَإِن كَانَ أَصۡحَٰبُ ٱلۡأَيۡكَةِ لَظَٰلِمِينَ ﴾
[الحِجر: 78]
﴿وإن كان أصحاب الأيكة لظالمين﴾ [الحِجر: 78]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika, wakazi wa mji uliozingirwa na miti, nao ni watu wa Shu'ayb, walikuwa ni wenye kuzidhulumu nafsi zao kwa kumkanusha Mwenyezi Mungu na Mtume wao mtukufu |