Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 103 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗۖ وَمَا كَانَ أَكۡثَرُهُم مُّؤۡمِنِينَ ﴾
[الشعراء: 103]
﴿إن في ذلك لآية وما كان أكثرهم مؤمنين﴾ [الشعراء: 103]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika katika habari ya Ibrāhīm iliyotangulia kuna mazingatio kwa mwenye kuzingatia. Na wengi wenye kuisikia habari hii hawakuwa ni wenye kuamini |