Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 121 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗۖ وَمَا كَانَ أَكۡثَرُهُم مُّؤۡمِنِينَ ﴾
[الشعراء: 121]
﴿إن في ذلك لآية وما كان أكثرهم مؤمنين﴾ [الشعراء: 121]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika katika maelezo ya Nūḥ na yale yaliyokuwa ya kuokolewa Waumini na kuangamizwa wakanushaji ni alama na ni zingatio kubwa kwa waliokuja baada yao. Na wengi wa wale waliokisikia kisa hiki hawakuwa ni wenye kumuamini Mwenyezi Mungu, Mtume Wake na sheria Zake |