Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 226 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَأَنَّهُمۡ يَقُولُونَ مَا لَا يَفۡعَلُونَ ﴾
[الشعراء: 226]
﴿وأنهم يقولون ما لا يفعلون﴾ [الشعراء: 226]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na kwamba wao wanayasema wasiyoyatenda, wanapita mipaka katika kuwasifu watu wa ubatilifu na wanawatia kasoro watu wa haki |