Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 225 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿أَلَمۡ تَرَ أَنَّهُمۡ فِي كُلِّ وَادٖ يَهِيمُونَ ﴾
[الشعراء: 225]
﴿ألم تر أنهم في كل واد يهيمون﴾ [الشعراء: 225]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwani huoni, ewe Nabii, kwamba wao wanaenda kama mtu aliyekosa mwelekeo, wanavama ndani ya kila aina ya fani za urongo, uzushi, uvunjaji heshima, kutukana nasaba na kuwataja vibaya wanawake waliojihifadhi |