Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 55 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَإِنَّهُمۡ لَنَا لَغَآئِظُونَ ﴾ 
[الشعراء: 55]
﴿وإنهم لنا لغائظون﴾ [الشعراء: 55]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wao wamevijaza hasira vifua vyetu kwa kuwa wameenda kinyume na dini yetu na wametoka bila ya idhini yetu |