Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 54 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿إِنَّ هَٰٓؤُلَآءِ لَشِرۡذِمَةٞ قَلِيلُونَ ﴾
[الشعراء: 54]
﴿إن هؤلاء لشرذمة قليلون﴾ [الشعراء: 54]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Fir’awn akasema, «Kwa kweli, Wana wa Isrāīl waliokimbia pamoja na Mūsā ni pote twevu lenye idadi ndogo |