Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 71 - النَّمل - Page - Juz 20
﴿وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلۡوَعۡدُ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ ﴾
[النَّمل: 71]
﴿ويقولون متى هذا الوعد إن كنتم صادقين﴾ [النَّمل: 71]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na washirikina wa watu wako, ewe Mtume, wanasema «Itakuwa lini ahadi hii ya adhabu mnayotuahidi kwayo, wewe na wafuasi wako, mkiwa nyinyi ni wakweli katika yale mnayotuahidi?» |