Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 70 - النَّمل - Page - Juz 20
﴿وَلَا تَحۡزَنۡ عَلَيۡهِمۡ وَلَا تَكُن فِي ضَيۡقٖ مِّمَّا يَمۡكُرُونَ ﴾
[النَّمل: 70]
﴿ولا تحزن عليهم ولا تكن في ضيق مما يمكرون﴾ [النَّمل: 70]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Usiwe na masikitiko juu ya kukupa mgongo kwao, hao washirikina, na kukukanusha, na usiwe na dhiki moyo wako juu ya vitimbi vyao wanavyokufanyia, kwani Mwenyezi Mungu ni Mwenye kukupa ushindi juu yao |