Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 77 - النَّمل - Page - Juz 20
﴿وَإِنَّهُۥ لَهُدٗى وَرَحۡمَةٞ لِّلۡمُؤۡمِنِينَ ﴾
[النَّمل: 77]
﴿وإنه لهدى ورحمة للمؤمنين﴾ [النَّمل: 77]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika, hii Qur’ani ni uongofu kutoka kwenye upotevu na ni rehema inayotoa kwenye adhabu kwa mwenye kuiamini na akajiongoza kwa uongofu wake |